Skip to main content

Wewe Ni Mteule - Abel Ngeleja


Kitabu hiki cha Wewe ni mteule,Kimelenga kumuhamasisha kijana aliyeko chuoni kuzipigania ndoto zako,kumuandaa kuwa Mkombozi wa taifa lake na ulimwengu kwa ujumla,na kumuandaa kifikra na kimatendo kupambana na changamoto za kimaisha na ajira  awapo  chuoni na baada ya kumaliza chuo,
Yote hayo na mengine mengi,yamebebwa katika sura mbali mbali kama vile:
1.Karibu chuo
2.Utakumbukwa kwa lipi?
3.Maswali muhimu unayopaswa kujiuluza unapofika chuo tu
4.Wewe ni mteule
5.Kuna maisha baada ya chuo
6.Masomo ambayo hayafundishwi chuo,
7.Majuto ya wahitimu wa vyuo,n.k

Pia kitabu hiki kimesheheni mazoezi kwa vitendo yatakayomsaidia msomaji kuwa makini anapokisoma.

Comments